SMS za mapenzi kwa yule umpendaye

 

Mimi ni mkimbizi wa mapenzi na nimekimbilia kwako,

sikwenda mwingine wewe ndiye chaguo langu,
nipe hifadhi moyo mwako mwenzio sinayo hali.
nihifadhi peke yangu nami nitakuhifadhi moyoni mwangu.


Pendo ni dawa ya kidonda cha moyo, huleta faraja ulipokata tamaa,
yaleta furaha ulipokwa unaraha, huleta thamani iliyopotea,
huleta amani pasipo na amani, nakupa langu pendo kwa sababu nakupenda sana,
usisahau kumeza kwani utaharibu dozi.

Post a Comment

Previous Post Next Post