Happy birthday .. love sms

 Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.

Leo ni siku yako ya kuzaliwa mpenzi wangu uluye mzuri machoni mwangu MUNGU alikuleta duniani ili wewe uishi moyoni mwangu nami niishi moyoni mwako .......happy birthday my love LIVE LONG..





Post a Comment

Previous Post Next Post