SMS TAMU ZA KUMTAKIA SIKU NJEMA MPENZI WAKO

  Kama ningeweza kutenga muda kidogo na kuufanya uendelee kung’ara siku zote, siku zote nilizoishi ningechagua wakati nilivyoishi nawe.

 Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.




Post a Comment

Previous Post Next Post