HELI YA KUZALIWA MPENZI.



Watu wengine huzaliwa na sura nzuri na wengine huzaliwa na akili nzuri. Kwa bahati mbaya, wewe sio wa mmoja wao. Heri ya siku ya kuzaliwa!
...........................

 Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe

maisha marefu na kukuepusha na maradhi,

pongezi kwa wako wazazi

kwa kukuzaa mpenzi,

nakupenda la azizi.

Heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa, Mungu aendelee kukubariki na mambo yote mazuri maishani.



Post a Comment

Previous Post Next Post