“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”I LOVE U……………………………….Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,
njooo mwandani wangu
nakusubiri daktari wangu.
Post a Comment