sms za mchana mwema,

 mapenzi ni kama mti huchanua yanaponyeshewa,hunawiri yanapolelewa,na hutoa matunda pindi yanapo thaminiwa,gharama la tunda litokalo mtini hapo hutegemeana na ubora wake.nasi tulifanye penzi letu liwe bora,na lenye kuthaminiwa.

..........................
pendo ni dawa ya kidonda cha moyo,huleta faraja ulipokata tamaa,yaleta furaha ulipokwa unaraha,huleta thamani iliyopotea,huleta amani pasipo na amani,nakupa langu pendo kwa sababu nakupenda sana,usisahau kumeza kwani utaharibu dozi.



Post a Comment

Previous Post Next Post