Kila kilicho ""MOYONI"" si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona ""GHALI"",akukumbukae juwa amekuhifadhi ""MOYONI"" na ""AKUNPENDAE"" Hachoki Kukuombea ""MEMA ucku mwema hny.
"UPENDO" ni kawaida yangu "CHUKI" SI busara kwangu, "KUISHI" Na watu vizuri ni sehemu ya maisha yangu, kuwasalimu niwapendao ni hulka yangu.. Gd9t
Post a Comment