Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe. Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwakupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,nimeambiwa ili nipone maradhi haya nipate:-
(1)ushirikiano wako
(2)furaha yako
(3)upendo wako,
(4)tabasam yako.
Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?
*************
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni,hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
*************
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yakohifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.
Post a Comment