>Kuna uwezekano mimi sio wa kwanza kuwa mpenzi wako, kukupa busu, ama kukupenda lakini nataka kuwa wako wa mwisho.
> Sina haja ya mahala peponi kwa sababu nimekupata wewe. Sina haja na ndoto kwa sababu niko na wewe.
.Kupenda sio kitu. Kupendwa ni kitu. Lakini kupenda na kupendwa ni kila kitu.
Post a Comment