I miss you

Hakuna mtu aliyewahi kuwa karibu nami na akanifanya nijisikie raha kama unavyonifanya nijisikie.

"Mpenzi nime ku miss jamani, sipati meseji wala simu sijuwi kwa nini, nikikumbuka hunayofanyaga, natamani ungekuwa nami pembeni nakunipa mahaba ya siyo kifani . nakupenda si utani hani

"Sikuwahi kujua kuwa unaweza kummiss mtu hata kabla hajaondoka, mpaka nilipokujua wewe ndio nikaamini.





Post a Comment

Previous Post Next Post