Nimekumisi mpenzi wangu

Mmmh! Cjui ni kwa nini nahamu ya kufaidi penzi lako kiasi hiki? Natamani laiti ungekuwa karibu yangu unipime gonjwa hili na unitibu pia. Kwani wewe ndiye daktari wa pekee ni naye mwamini. Nimemiki kila kitu kutoka kwako. Nahisi nazidi kuchanganyikiwa kwa ukosefu wa penzi lako.

Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!



Post a Comment

Previous Post Next Post