SMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda.

mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni

zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza
kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo
wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana

Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.

Post a Comment

أحدث أقدم