SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

 Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe

nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!

Nisamehe mpenzi wangu!


Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda

kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali

walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi

kukufuta machozi kwakukupa la dhati

penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako

chozi, na daima nitakuenzi.




Post a Comment

Previous Post Next Post