Usiku uliotulia nilikua nipo kitandani nikiiwaza safari ambayo nilikua nimeisha jiaanda kuianza pindi kutakapo kucha. Safari hii ilikua ni yakwenda Dar es salaam kwaajili ya kufanya kazi katika Jumba moja la kifahari baada ya matokeo yangu kuwa mabaya na kushindwa kuingia kidato cha tano ili kuendelea na masomo pia binafsi sikupenda kuendelea maana nlikua sielewi kabisa vitu vinavyoendelea darasani kutokana kichwa kuwa na mambo mengi ikiwemo mambo ya ugovi wa katika familia yetu. Baadae usingizi ulinichukua kisha nikashtushwa na Alam ya simu yangu nilioitega iniamshe ili niwahi gari kabla halijaondoka maana magari ya hapa iringa huwa yanajali sana muda kiasi ambacho ukichelewa dakika chacheche tu, unaweza achwa. Nilijiandaa, nikalibeba begi langu la nguo na wallet iliojaa pesa kwaajili ya matumizi yoyote yatakayojitokeza kisha nikaenda kupanda gari na safari ikaanza. Wakati gari ikiedelea kwenda nilikua nikiliwaza jiji la Dar maana hiyo ilikua ni safari yangu ya kwanza na nilikua nikipewa Simulizi nyingi kuhusu jiji hilo ila sikua na hofu saaana maana namba ya simu ya wenyeji wangu nilipewa ili niwapigie nikifika kwaajili ya kunichukua na kunipeleka mmoja kwa mmoja katika nyumba yao.
Baada ya masaa mengi sana na vipindi vichache vya usingizi,gari iliingia Dar mida ya usiku sana. Nilitoka kwenye gari na begi langu mkononi nikiwa ninalishika kisawa sawa ili lisinyakuliwe na vibaka maana nilikua niliskia kuwa wageni hukaribishwa Dar kwa namna ya pekee sana hahaha. Ulikua ni usiku lakini watu walikua wengi mno na kila mtu yuko busy na shughuli zake. kwa umakini mkubwa, nilinyooka katika sehemu ya duka ambayo nilihisi ni salama kisha nikachomoa simu yangu na kuipigia namba ya mwenyeji wangu.. lakini ghafla wakati nikiiweka simu sikioni kuna mtu aliipitia simu yangu kwa kasi ya ajabu na kwakua tukio lilikua la ghafla, nilibaki nimeduwa tu nikimuangalia aliechukua simu yangu akijichanganya katikati ya watu mpaka akatokomea. Niliangalia kulia na kushoto nikaona hakuna mtu anaejishughulisha na tukio langu la kuibiwa simu. Nikaamua kukubaliana na uhalisia na wala sikua na hofu juu ya kukutana na wenyeji wangu kwakua namba zao nilikua nimezihifadhi pia katika kikaratasi kilichopo kwenye begi langu hivyo changamoto iliokuepo ilikua ni simu tu lakini muda huo ulikua si rahisi kupata simu ya kuwasiliana nao kwakua ulikua ni usiku sana na hatua pekee niliochukua ni kutafuta chumba katika nyumba za wageni maana pesa nilikua nazo za kutosha. Nilibahatika kupata chumba katika Guest mmoja bomba sana nikaamua kuingia humo ili nipate kupumzika.
Kutokana na uchovu wa safari, sikupoteza muda.. nilifunga mlango na kujitupa kitandani kama mzigo “Bwaah” lakini punde si punde nikasika mlango wa chumba hicho ukigongwa “Ngo,ngo,ngo!!” “Ngo,ngo,ngo”. Niliamka kwa hasira mno maana nilona kama ni usumbufu vile lakini hasira zote ziliniisha nilipofungua mlango na kukutana na mrembo mweupee, mzuri, mweshepu la hatari na macho ya kulegea akisema “Samahani wangu.. anaitwa Tausi, nlikua nataka kukufahamisha kuwa kama uko pekeako tunaweza kujumuika pamoja mpaka hasubui”
“Mh kujumuika? Kujumuika kivipi mbona sijakuelewa dada angu”
Duh ilibidi niulize anamaana gani japo nilifahamu alichokua akizumzia lakini ukweli ni kwamba nilipanga kutojihusisha nawanawake wamitindohuo lakini nilishindwa kujizuia aliponijibu…
“Yaani namaanisha kama utahitaji tulale wote.. nipo kwaajili yako na nitakupa kila kitu unacho hitaji” huku akivutia kwa juu kuguo chake vifupi ili nione paja zilizo nona.
“Sawa lakini..”
“Lakini nini wangu?”
“Okay.. okay.. ingia ndani.. ingia ndani.. karibu” nilijibu kwa kigugumizi sana sana maana muda huo nilikua ni kama nimetekwa na akili na nimetolewa kwenye msimamo wangu kwa uzuri wake..
“Asante.. mambo vipi lakini?”
“Safi tu, mzima?”
“Me mzima tu wangu”
Aliingia ndani na katika chumba changu kulikua kumetawaliwa na kitanda pamoja na kiti kimoja tu ambacho alikitumia kuweka mkoba wake kishisha akaanza kuvipunguza vitu katika mwili wake kwa kuanza hereni na mkufu wa gold ulikua ukiking’arisha kifua chake kilicho na maziwa yalio simama kama mshale. Nikiwa nimekaa kitandani niliendelea kumshuhudia Tausi akizidondosha nguo zake mmoja baada ya nyingine mpaka akabaki na Nguo ya dani tena ilikua ni kama kikamba tu kilichoingia tatikati ya sehemu zake… Alikua amejaza nyuma kuliko sehemu zote za mwili wake wote. Baada ya kupunguza vitu katika mwili wake, alinigeukia na kuniambia “Nahitaji kuoga kwanza wangu.. sjui tutaenda wote?”
“Mh unafiki unge.. unge.. ungeeenda tu hat.. hata usijari” niliongea kwa kigugumizi kutokana na hamu ilionizidi kiasi kwamba hata mate yalikua magumu kuyameza.
“Hapana wangu.. twende bafuni, usiogape kwasababu Mimi nipo hapa kwasababu yako”
“Dah Okay.. bas.. basi tangulia nakuja”
“Sawa”alijibu huku akielekea kwenye bafu ambalo lilikua ndani ya chumba hicho hicho. Alipo ingia tu bafuni sikutaka kupoteza muda, nlichomoa nguo zote nikabaki na boxer tu huku sehemu yangu ikiwa tayari imejitutumua mpaka mishipa imesima tayari kwa kuilamba Sukari ya Tausi. Nijiweka Sawa kisha nikasogelea chumba cha bafu ambacho nilikua kinasikika kelele za maji ya kitiririka mwilini mwa Tausi lakini ghafla kabla sijaingia ndani yake niliskia kishindo kizito sana ndani ya bafu “Mbuuh!!” kikiambatana na “Mamaaaah!!!”.
Post a Comment