I LOVE YOU SUKARI WANGU

 Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtZbIPgYGbLmNPrm9fJSwpQXtEqYiZFZfJBfEdjBhC4m0YgT0SZW3kKl04NelbAaxiEsQuDaZAYPDuEdwmgy8BKF3ggScXNpJmm8DOnvVjaZINnKhtpVuS7wL58Zz52bbvR4TQ93W4WhE/s1600/pt.jpg


Moyoni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea, sijui nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea, kumbuka nilikupenda!

Post a Comment

Previous Post Next Post