ASUBUHI NJEMA

 




Tazama kumepambazuka mpenzi na nimeiona siku nyingine ya jua, naamini nawe umeamka salama katika uzuri wako, Mungu amekujalia uzima tena kwakuwa bado unahitajika kuwajibika, na bado kuna mtu anakuhitaji, mwangaza Wa asubuhi ulivyo mzuri nawe ukaangaze katika moyo wako mpenzi wangu, nakutakia kazi njema hats tuonane jioni tena, nitakumiss babe

Mpenzi nikuulize kitu asubuhi hii? Je, ulivyoamka umewaza nini na Je umetazama nini, mie nilipoamka nikatazama nje kama kumepambazuka nikaona jua linachomoza nikatamani mapenzi yetu yazidi kuchomoza kila siku yawe mapya yaliyojaa Amani na furaha, pia nikawaza nifanyenini ili mapenzi yetu yazidi kuwa moto, hata nakosa maneno ya kukwambia namna navyokupenda, asubuhi njema babe

Post a Comment

Previous Post Next Post