SMS Za shukrani kwa Mpenzi kumshukuru kwa kukupenda




Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, Kuiosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.


 Moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote nikutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI.


Post a Comment

Previous Post Next Post