Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene!
Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipenafasi nyingine moyoni mwako!Nipe nafasi nyingine maishani mwako!Nisamehe mpenzi wangu!
Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda
kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali
walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi
kukufuta machozi kwakukupa la dhati
penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako
chozi, na daima nitakuenzi.
Post a Comment