Mchana mwema mpenzi wangu.

 *Ninawazia macho yako mazuri yakisoma hili, huku ngozi yako inang'aa kwa upole kwenye mwanga   wa simu yako, na nywele zako zikilala taratibu dhidi ya ngozi yako. Natamani ningekuwepo.

 *Hivi karibuni mwanga wa jua utaamka siku nyingine, na tutakuwa pamoja tena. Siwezi kusubiri.

*Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini     mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.

Post a Comment

Previous Post Next Post