Nisamehe dear wangu.

Kukataa Kumsamehe Mtu Ni Sawa Na Kunywa Sumu Na Kungoja Mwingine Afe. Samahani..

Nilichofanya ni msukumo wa kipumbavu Ikiwa ningeirudisha nyuma muda nisinge fanya hivyo tena sikumaanisha kukuumiza kwa njia yoyote Samahani kwa kukuumiza ..

Post a Comment

Previous Post Next Post