NALIA ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona, najuta ninapokuudhi, naumia unaponitenga, nateseka ukiwa kimya, nafulahi ukinikumbuka. Nakupenda mpenzi, niondolea jaka moyo.
Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia. Wala si kimya kinachotawala mazingira, bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio, nakutakia usiku mwema.
Post a Comment