SMS ya kumtakia sweet yako usiku mwema.



 Lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie

karima zitimie njozi zako,,,,,,,,,usiku mwema wangu,

Fungua macho yako uone kopa zamahabaninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,

fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo

kwa kukutumia sms mpenzi wangu,

Nakutakia usiku mwema

 

Post a Comment

Previous Post Next Post