Wakati umeenda sehemu ambayo umemwona mwanaume unayemzimia, ni bora uonyeshe ule upande wako wa furaha. Cheka na wenzako, furahia nk. Akikuona tu atakuappoach.
2 Fanya kujigongesha mbele ya umpendaye. Wakati mupopamoja tembea ule upande wake halafu ujigonganishe nayeye kisha sema “Oh, samahani. Pole – huwa najisahau mara nyingi ninapozungukwa na wanaume wakupendeza.” Halafu jitambulishe.
3. Mtese kidogo. Mfano: Wakati anakwambia jina lake kwa mara ya kwanza, jifanye hujaliskia sema, “Wasema?” ili apate kuegemea karibu yako aweze kujiridia kwa mara nyingine. Halafu sema, “Nini?” huku ukitabasamu. Utakuwa umeyaanzisha maongezi yenu na ucheshi.
4. Fanya mazoezi ya kumchokoza na kumteka. Ingiza mbinu yako uliyobobea ya kusuka mara moja au nyingine, kama vile wahudumu wa kike hotelini. Amini usiamini hili litaongeza confidence yako wakati unapoongea na mtu unayempenda.
5. Mwache akuone unamchungulia.
Kama na yeye atakuangalia, tabasamu. Ukifanya ivyo utampa hamu ya kukuaproach.
6. Kuwa interested. Wakati anapoongea na wewe hakikisha kuwa unaonyesha interest yako kwa kumuuliza maswali ili na yeye apate nafasi ya kujibu na hii atahisi mupo pamoja.
7. Chunguza vitu anavyovipenda Angalia nguo zake. Muulize timu anayoipenda, mchezaji, gemu nk kutokana na mavazi yake. Bila shaka atagundua kuwa umemnotice.
8. Jipulize marashi kwa shingo yako.
Hii bila shaka mwanaume unayemzimia atagundua tu.
9. Tabirika wakati mwingine. Ule wakati ambao umejigongesha maksudi mbele ya mwanaume, hakikisha kuomba radhi kwako unakuzidisha kiasi cha kuwa atagundua unajaribu kufanya maksudi.
10. Andika jumbe katika Instagram yake. “Hii picha inachekesha. Hivi ulikuwa unafanya nini hapa?” Wakijibu sema’ “Unapaswa kuniambia ana kwa ana. 🙂 Wataka hii wikendi tumeet ama?”
11. Usimjibu. Jaribu kuitumia hii mbinu. Wakati ambapo anakutext, usijibu kila swali ambalo atakuwa akikuuliza. Acha maswali mengine yakielea. Hapa utakuwa unampa wakati wa kukufukuzia zaidi kutaka kukuelewa.
12. Facebook sinema, vipindi ama gemu ambazo unataka kuziona. Kama yuko interested na moja wapo ya hizo basi atapata kisababu cha kutaka mkutane.
13. Pitisha karatasi iliyoandikwa kwa mkono katika party ambayo inasema, “Nilikuwa nakusalimia!” Ipitishe kwa mfuko wake – hii inafanya maajabu zaidi kuliko text za simu.
14. Msuke kabla hujamuona. Mtext umwaambie, “Unapaswa kuvalia ile tsheti ya blue leo usiku – inayafanya macho yako yapendeze.”
15. Mtie wasiwasi. Hivi ndivyo vya kufanya: Mara ya kwanza umpendaye anapokutext, mjibu, “Wewe ni nani?” Atakapojieleza,sema, “ntakosaje kukutambua? :)” Unamvutia.
16.Wakati anaonyesha dalili za kukutongoza usikubaliane na yeye hapo hapo. Msumbue na umpatie wakati mgumu mpaka ile siku utaona imefikia wakati wa kumkubali.
17. Wakati ambao unataka kumuwish gudbye, fanya kumsogelea kana kwamba unataka kumbusu lakini nenda hadi kwa sikio lake na umwamnie’ “Usiku mwema.”
Post a Comment