Siku inaisha tena. Ni vizuri kuwa na mpenzi kama wewe siku inaonekana ni nzuri sana. Asante mpenzi usiku mwema nakutakia ndoto tamu ..
_____________
Mtu wa kwanza Unayemfikiria Asubuhi na Mtu wa mwisho unayemfikiria Usiku ni Sababu ya furaha yako au ndiye sababu ya maumivu yako ..
Post a Comment