Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako

 Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema

Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong’oneze mwambie nampenda sanaaaa Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati, nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.





Post a Comment

Previous Post Next Post