Katika Siku yako ya Kuzaliwa, siku zako zote 365 zinaweza Kuboresha Maisha yako na Mchanganyiko Kamili wa furaha na starehe, Furahi na usherehekee kila dakika.
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mpendwa!
Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.
Post a Comment