Mpenzi mbona mapenzi yetu kama yanapoteza dira, kila siku huishi hila, kitu kidogo wafura hasira. Wanichanganya dia! •
Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana, sasa nafsi yangu ishasema hapana, namuomba Maulana akujalie kheri na afya njema daima, kumbuka nilikupenda sana. •
Post a Comment