Mchana mwema dear wangu

 Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?

Mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?





Post a Comment

أحدث أقدم