Nice night dear

 Nakutakia usiku mwema kwako wewe wangu kipenzi,uote njozi njema,na uniote nami pia., usiku huu uwe wenye baraka kwako nami dua kukuombea,malaika wa kheri wazunguke kitanda chako.usiku mwema.

………… 

Mapenzi ni kama mti huchanua yanaponyeshewa,hunawiri yanapolelewa,na hutoa matunda pindi yanapo thaminiwa,gharama la tunda litokalo mtini hapo hutegemeana na ubora wake.nasi tulifanye penzi letu liwe bora,na lenye kuthaminiwa.





Post a Comment

أحدث أقدم