Omba radhi kwa mpenzi na sms hizi.

 "Kuomba msamaha sahihi kuna sehemu tatu: 1) Kile nilichofanya kilikuwa kibaya. 2) Ninajisikia vibaya kwamba nimekuumiza. 3) Ninawezaje kuboresha hii? ” 

 Nakiri kweli nimekukosea naomba wako msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwazalakini kwa hakika hii ni mara yangu ya kwanza naamini,naamini utanisamehe laaziz na kunipa nafasi ya kulienzi lako penzi.

 Unajua nakupenda ila tu umeamua kunitenda rudisha moyo nyuma kasha twende sambamba mapenzi yanavyokwenda.





Post a Comment

أحدث أقدم