SMS STORY NZURI YA UPENDO YA KUMTUMIA MPENZI WAKO AU UMPENDAE…



 Kwenye ubongo nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok

Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,

2/ UPENDO

3/ FURAHA

4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU

1/ RADHI ZAKE,

2/ HAIBA KWA WATU

3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA,

……………………..



Post a Comment

Previous Post Next Post