Jumbe motomoto za mapenzi usiku kwa Kiswahili.

Mapenzi hayalazimishwi. Bure yatakuwa mzigo. Ninashukuru kuwa twapendana sote bila kusukumwa. Unapolala mpenzi, kumbuka kuwa wako mie nakutakia dua njema ulalapo na uamkapo.  

Ata kwa ndoto singefikiria juu ya penzi tamu kama lako. Kwa hivyo, ata nilalapo usiku wa leo, nina imani ya kuwa nitakuona asubuhi nifurahie tabasamu lako. Ninajua ya kwamba hakuna jambo lingine zuri kushinda ukweli wa penzi lako. Lala vyema wangu wa roho.  

Natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema .


Post a Comment

أحدث أقدم