Mapenzi ni matamu sana,

 Pendo la dhati lina sifa zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.

* ♥ °·°*

Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali



Post a Comment

Previous Post Next Post