Sms za kumvutia mwanamke.

 Sweet, natamani tutengenezewe nchini yetu na tuishi wawili, wenye wivu wasipate nafasi ya kuharibu penzi letu, huku tupeane mapenzi pasipo kubaniana, tulishane vizuri vilivyo ndani ya miili yetu, tushikamane usiku kucha tukisifiana ndani ya mahaba. Sweet ni wachache wanaovutiwa na penzi letu na ni wengi wanaochukizwa naomba tuwe macho. 

---

Watu 10 wanaokujali mmoja ni mimi, mtu mmoja anayekujali anaweza kuwa mimi tena, kama hakuna hata mmoja anayekujali, basi inamaana mimi sipo duniani. Ongeza mapenzi ili tusipate vishawishi…





Post a Comment

أحدث أقدم