Nakupenda my dear 
kwenye moyo wangu ndani ndani umeingia
ukiniacha mwenzio nitaumia
ukinigomea uwa nataman hata kulia
isije ikawa umenitaman tu ukapata utakacho ukanikimbia


naomba isiwe ivyo majonzi utaniachia
utanipa pigo kiukweliiii nitajutia


Mimi na wewe hii ngoma mbele Kwa mbele


Mwandishi ni Mimi

Post a Comment