Home NIPO_KWA_AJILI_YAKO TEE December 19, 2022 0 my dear Nilitarajia furaha ya milele kuwa na we kumbe nilikua najidanganya. Ishara zote za upendo juu yako nimezionyesha ila naambulia kudharauliwa siku zote. Kwanin huniamini kitu gani hujajiridhisha kuwa nakupendaAu niende kwenye vyombo vya habari nikaandike upendo wangu juu yakoNifanye mtu kwenye watu. Nipunguzie adhabu mimi nakupenda wewe na sina mwengine. Moyo wangu umeutia pingu ambayo inakaribia kuondoa uhai wangu. Naomba unifungue kunusuru maisha yangu. Sana geni la kukufanyia zaidi ya upondo wa dhati ndio kitu utakacho jionea.#Nakupenda_sana
Post a Comment