ATAKUKUMBUKA_TU_BABY_WAKO.



xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
😏Siku moja atakuja kukumbuka your darling. 😍Japo ametembea na wengi ila wewe mumetokea mbali.😍 Atakumbuka jinsi ulivyokua unamtunza na kumjali😏. Ulivyo mthamini kwa kila hali.😍 Mukidekezana na kucheza michezo mbax2 Mwanzo alikuona chumvi ila sasa atakuona asali.😏 Jinsi penzi lilivyo noga mithili ya ndimu na kachumbali.😍 ata kupata wapi sasa wakati kila mtu yuko mbali.
Muda mwingi atakumbuka mazuri yako😏. Wewe ndie uliekua unampenda na hakuna mwengine zaidi yako.😍 Wengi ni over type ila wewe ndie saizi yako.😍 Ndio! Si ndo aliekutoa BIKRA yako.😏 Wewe ndie uliekua unamshauri na kumpa mmoyo mpenzi wako. 😏Unamjua akiwa na furaha, akiwa na hasira hata hata akiwa na uzuni kipenzi chako 😍,Atakumbuka mara ya kwanza mulivyo kula kiapo.😏 Ndipo atakutafuta na kukuomba msamaha hapohapo.😍 Nawe utamkubalia mutarudi tena upya kama mwanzo.😏
💜 "SEMA amen kwa EX-WAKO"💜

Post a Comment

Previous Post Next Post