



Leo ni siku yangu ya kuleza ukweli wa moyo wangu
Mimi ni binadamu
nilie umbwa na hisia pia
kama utais nakuvunjia Heshima utanisemeehe nimeshindwa kuvumilia
hakika tangu naanza kuwa karibu yako 
moyo wangu ulianza kuvutiwa













Ulitaman uwepo wako

niliamin kwako nitatulia
hakika Kila nikikaa peke yangu uwa nakufikilia
narudia kusoma txt zako kichwan zajiliduia
Yani nilipokufaham tu amani ya moyo ilinijia
nikaona hapa Ndio Mahala pa nafsi yangu kutulia

Mahana unaujua ukweli wa maisha yangu Mahana nikikusimulia

hata wewe ulineleza maisha ukiyopitia
hakika ni ya majonzi unaitaj 
Kwa kukaa kutulia
ulinipa nafasi ya urafiki
Kwa Hilo nashukul pia







































Hakika mwenzio Nina Nina dah jaman
ninakupenda 
sio kiurafiki was maisha yangu siku ludi miaka nenda
Wala sitakutenda
najua unamajonzi mazito ila kwangu yatasalenda
























JE!!!
Umenilizia au kwako Sina nafasi?


Mwandish ni Mimi
Post a Comment