kwako niseme niniambacho aujakisikia Toka kwangu honey please Baki na mimiwewe Ndio furaha yangu honey
Nakupenda my dear kwenye moyo wangu ndani ndani umeingiaukiniacha mwenzio nitaumiaukinigomea uwa nataman hata kuliaisije ikawa umenitaman tu ukapata utakacho ukanikimbia naomba isiwe ivyo majonzi utaniachiautanipa pigo kiukweliiii nitajutia
mapenzi yangu chukuadaima hayawezi kupunguakwako Kwa Raha napumuaYani mpenzi hakika kupenda wajuauko ambako nikiumizwa bahat yangu haikuakitandani wajua kunisuguaYani Hadi raaah mwili wangu wajua kuusisimua
wapi niende Haliyakua kwako nimetulie teleeAcha mtot w watu nikupendesitaruhusu hata siku Moja nikutendenakupenda bila kwelewanajisumbua kupiga makelele
Mimi na wewe hii ngoma mbele Kwa mbele
Mwandishi ni Mimi
King raizer
KING OF LOVES
إرسال تعليق