|>>>>>>>>>>>>>>>>>|
Nasikitika nitabaki na nani endapo ukiondoka, nani atanita "my" nani atanita "mume" ukiondoka. Nitabaki kua mpweke machozi yakidondoka, Sina wa kunifuta yatakapo bubujika. mbinu za ndugu na wazazi wako zikisha kamilika. Ukisha kua mbaali mipango yetu yote itaaribika. Najua fimbo ya mbali haiyuwi nyoka hilo linafaamika. leo unafuraha ila ipo siku nawe utauzunika. Iyo safari uiyendayo,kua makini mpenzi nisije kudhalilika.
Siku zote nitakukumbuka mpenzi wangu. Uendako naomba unikumbuke usije niadhibu kwa makosa yangu. Najua mimi sio wa kwanza kunisahau ni rahisi sana kwa tabia zangu, najua ipo siku mbele za watu utaukana moyo wangu. Najua ipo siku nitalia peke yangu. Safari haina dhamana abilia plz n
إرسال تعليق