UTAKAPO_ONDOKA_MPENZI



**************************************
     ❤ Utakapo ondoka chunga sana kipenzi changu❤, ukumbuke umebeba roho,❤ mwili na maisha yangu. Najua utanimis nami nitakumis sana honey wangu❤. Ukumbuke hakuna wakunitia moyo wala faraja zaidi ya wewe sweety wangu.❤  Sina wakunishauri wala  wakunipongeza dear wangu.❤ Uwendako ukibadili maamuzi utaumiza sana mtima wangu.❤
     💕Natambua kwako ni faraja ila kwangu maumivu💕. Utakapo ondoka mbaali moyo umekumbwa na wivu.💕 Kua makini na safari yako wasije kukubeba wachovu. 💕Mara chubu mchubuo wakakutoa makovu.💕 Mi nakutegea urudi salama wangu my love💕. Chunga ubishi wa kuni mbichi mkaa kua majivu.💕
  FROM: Smart njoine

Post a Comment

أحدث أقدم