🥰 #UTAMU_WA_ROHO_YAKE 🥰

 


💞💓 Nilichoshwa na mapenzi kwasabab sikutafta mtu sahh kwangu 💓💞
💞💓Lakini Tangu nikupate wewe umefanikiwa kuiunganisha furaha yangu iliyogawayika 💓💞
💞💓Nimepata Utamu wa hamu sina mda wakupoteza anipendaye kajitokeza 💓💞
💞💓Unanipa maneno mazuri yanayoendana na mm, unanipa vitu vizur vinavyoendana namimi hakika siwez kulichoka penzi lako hata likichakaa 💓💞
💞💓Unanipenda adi najionea aibu mpenz wangu nitaacha yote ili niwe wako nikupendeze peke yako 💓💞
💞💓Unaifanya Afya yangu iwe salama kila muda Acha leo nikwambie kitu kizuri sana si kikubwa wala so kidogo ila NAKUPENDA 💓💞
💞💓Nakuahidi kama nilivyokubali kukupenda ndipo nitakufa na kupona kwaajili ya kulipambania penzi letu 💓💞
💞💓Hamna wakutufunza maana sisi tunaelewana jinsi tunavyopendana kikubwa iman yetu milele hatutotengana 💓💞
💙Wewe ni barafu wa moyo wangu unipakazae mwilini 💚
💙Wewe ni sugar na tamu ya mtima wangu 💚
💙Wewe ni mwanzo na mwisho wangu nitakupa kibali cha kuwa mbali na mm lakn sitakubali uwe mbali na moyo wangu 💚
💞💓Hakika umeumbika umefundwa umenipendeza mpenz wangu jinsi ulivyo ww ni wakudekezwa si wakufokewa 💓💞
💞💓Nikiumwa maradhi yangu wajua kuyatibu kwan ww kwangu ni tabibu 💓💞
💞💓Nisikiapo baridi ww ndo joto langu jitahidi jilinde kpnz wabaya wasifanikiwe kupoteza tumaini la penzi letu 💓💞
❣️💜 Waaaaoooh!!! Sitakuacha kabisaa kwenye moyo wangu upo wewe tu 💜❣️
😍 MOYO WANGU umeshakupenda na sio rahisi kukutenga mpenz wangu 🥰
SMS : UTAMU WA ROHO YAKE 🥰

Post a Comment

أحدث أقدم