Mpenzi mahaba 🌾 matamu kwako nayapata...

 Mpenzi mahaba

🌾 matamu kwako nayapata,🦋 hakika ya menizidi niko 🥀hoi nyaka nyaka, 🍒sijiwezi asilani kama 🍃nzi kwenye kidonda, 🍀kwa penzi maridhawa☘️ nalopata moyoni🍄 umenitoa shaka,🌿 hakika najivunia 🌻wewe kukupata, 🌷daima tuishi pamoja kwenye penzi letu tuendelee kugandana...
May be an image of 1 person, tree and outdoors

Post a Comment

أحدث أقدم