____NIAMINI____MIMI__LOVE❤️❤️


🥰Hakuna aijuaye thaman ya upendo wangu kwako kwasabab nakupenda mm na mm ndo ninajua ninakupenda kwa kiwango gani 🥰

💓But kuna wakati utafika kila MTU atatamani kututenganisha kwa namna yake 💓

💞Kwasabab hamna anayependa kuona wawili wakipendana na mahaba yao yakipamba moto 💞

💕Hakuna asiyependa kupendwa ila wapo wasiopenda kupendana kwasabab hawajui kupenda 💕

💖Kama nilikupatia nafasi ya kunipenda na ukanipenda bhas usisite kuendelea kunipenda 💖

💝Niko tayari kwa lolote litakalotokea kwako mpenz wangu usiangalie nakuchiti au nakudanganya ila angalia matendo yangu ndo yatadhihirisha yote haya 💝

❤️Nafurahi kuwa na wew pia nafurahi kuona unanijali na kunipenda istoshe sio ww tu hata mm nakupenda vilevile ❤️

💛Nakupenda sana mpenz wangu mm sio wakutenda kosa mbele yako mm sio wakwenda tofauti na maono yako 💛

🔥Wakati wote amini mm niwako tu " ondoa shaka kwasabab haujakosea kunikabidhi moyo wako mpendwa 🔥

💓Itambue thamani yangu kwako pia ijue nafasi yangu kwako huenda nikawa sina haki mbele ya wengine ila hio hainishtui kwasabab moyo wako tu ni zawadi kwangu 💜

❤️Upendo wako sura yako uvumilivu wako heshima yako hivi ndo vinakamilisha hitaji LA moyo wangu kila wakati ♥️

❣️Kukuona ukiwa nafuraha kukuona ukitabasamu kwa amani kukuona ukiburudika ukiwa na mm ndo kitu napenda ❣️

❣️Naamini tutakuwa wakupendana daima kwasabab tunaishi kwa sheria yetu❣️

❣️Naomba uniamini..... Mm sio wakudanganya.....❣️

Messenger kupata hii sms

Post a Comment

أحدث أقدم