ANZA ASUBUHI YAKO NA SMS HIZI

SMS nzuri na tamu za Mapenzi na Mahaba kutoka kwa Malitoli - Home ...

Niseme nini ujue nakupenda nifanye nini ujue nakupenda nikuite jina gani ujue ni wewe pekeyako upo moyoni mwangu hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kua nakupenda niamini mpenzi
+++++++++++++++++++++++++
Mimi sitaki kua kitu kwa kila mtu lakini napenda kua kitu kwa mtu na mtu mwenyewe ni wewe nakupenda laazizi kama mimi nilikua na maua kila wakati mawazo yangu yangekua juu yako
+++++++++++++++++++++++++

Picha za mapenz - Home | Facebook


Kwenye ubongo nimekusevu i love you na moyoni nimeandika only you na kila nimuonae nasema no one like you wala siogopi kusema i'm crazy for you every second ithink about you so napenda uamini me for you nicetym my dear mwaaaaaa pls kiss 4 me ok
++++++++++++++++++++++++++

Petit man afunguka kuhusu picha zake za mahaba na Mobeto – DONDOSHA
Mapenzi ni safari :unifanye nauli ya moyo mapenzi ni maradhi:unifanye daktari nikutibu maradhi yako mapenzi ni kiu :niwe maji ya jangwani mapenzi chakula:nikulishe maishani mwako na uwe asali ndani ya moyo wangu

Post a Comment

Previous Post Next Post