Meseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda


Meseji nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daiama ...

Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali
Nakupenda Mpz

Post a Comment

Previous Post Next Post