MTAKIE USIKU MWEMA KWA MSG HIZI TAMU


SMS TAMU ZA USIKU MWEMA - Sms MPYA













Nimezunguuka pande zote za Tanzania macho nimeangaza kusaka mrembo wa kumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeniteka yangu nafsi nakupenda sweet

Post a Comment

Previous Post Next Post