Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
Najua unanipenda mpenzi wangu, lakini urembo wako unaniweka roho juu, angalia usihadaike na walaghai, napenda mpenzi wangu! Mwaaaa…
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yakon upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio naosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi!
Kila ninapovuta hisia ya kuwa na wewe nachanganyikiwa, natumia mto pembeni yangu naufananisha na wewe, nakupenda mpenzi!
Post a Comment