Salam yako ni nusu ya uhai wangu kuikosa ni sawa na kuidhurumu nafsi yangu kuipata ni sawa na uaridi machoni mwangu na kila ninapo ipata huwa najisikia faraja ndani ya moyo wangu nakupenda sana muhibu wangu




Mimi ni mkimbizi wa mapenzi nimekimbilia kwako si kwenda kwa mwingine wewe ndio chaguo langu nipe hifadhi ndani ya moyo wako mwenzio sinayo hali niifadhi pekeyangu nami nikuifadhi ndani ya moyo wangu

Post a Comment

Previous Post Next Post