UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia, UPENDO si vazi ningekushonea,
UPENDO si picha yangu ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia usku mwema.
………………………………
Hisia njema na nzuri ni pale unapodhani nimekusahau
na kukutenga na ghafla ukapata ujumbe wangu kuwa
ninakukumbuka,ninakujali na kukuombea, ucku mwema
……………………………….
Post a Comment